Audio|Appy- Watu Feki |Mp3 Download
Lyrics
Siku mbili sijalala sijakula
Ninastress
Nyumba imegeuka chumba cha dharura
Emergency
Sioni marafiki ama mashosti
Au mnasubiri nife ndio mniposti
Bora nitafute pesa
Ndugu wa kweli mafanikio
Watu feki watu feki
Sitaki marafiki siwataki ng'o
Sitaki wanafiki sitaki watu feki
Wambie walio nicheat
Wakaniumiza roho
Sitaki wanafiki sitaki watu feki
Sijui ninyamaze ama niseme wanicheke
Ama nijikaze nilie ninyamaze nijiliwaze
Lah lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Watu feki wasioridhika
Nilishazika nikasafirisha
Watu feki watu feki
Leo wanakupandisha
Kesho ndio watakushusha
Watu feki watu feki
Utakufa na njaa
Msibani watapika pilau
Ukishika chapaa
Utacheka nawanao kudharau
Mmmh
Bora wali nyama kuliko walimwengu
Wakikosa sufuria watakupiga majungu
Ukweli unauma ukweli ni mchungu
Yeah yeah yeah
Sitaki marafiki siwataki ng'o
Sitaki wanafiki sitaki watu feki
Wambie walio nicheat wakaniumiza roho
Sitaki wanafiki sitaki watu feki
Sijui ninyamaze ama niseme wanicheke
Ama nijikaze nilie ninyamaze nijiliwaze
Lah lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah
Lah lah lah lah.
Inadownloadika kiongozi wng, jaribu tn kudownload au check setting za sehemu unapodownlodia kiongozi wng
ReplyDeleteZina danlod mboma
ReplyDeleteAsante MPENJI TV , endelea kufurahia Mziki mzuri na kutembelea site yangu, Kila siku Ili usipitwe na update mpya, Mziki Plus Tz for Everyone.
ReplyDelete